Saturday, May 30, 2015

P-SQUARE WAMEKUJA UPYA NA JIWE JIPYA HUMO NDANI AKIWA MTU MZIMA AWILO LONHOMBAAAA NI BONGE KIVHUPA KAITAZAME MWENYEWE

P-square wamerudi tena kwenye headlines za leo na ngoma yao mpya ya Afro-pop ndani yake ameshirikishwa mkongwe wa Muziki wa Congo Awilo Longomba. Nyimbo inaitwa “Enemy Solo”. 

Video imetengenezwa Vtek na kusimamiwa na Clarence Peters waNigeria, ndani yake kuna Team ya Awilo Longomba na Team ya P-square .

Kuicheki video hio bonyeza play hapa chini mtu wangu.

https://youtu.be/RJrPdBgirMY

No comments:

Post a Comment