Saturday, May 30, 2015

MWANAMITINDO WA KIMATAIFA FLAVIANA MATATA AZIDI KUWIKA


MWANAMITINDO AFANYAYE KAZI ZAKE ZA UANAMITINDO ALOJIKITA MAREKANI FLAVIANA MATATA AMEKUWA AKIFANYA KAZI MBALI MBALI ZA KUONESHA MAVAZI JUKWAANI SAMBAMBA NA HIZI ZA MATANGAZO YA KIBIASHARA YA MATANGAZO YA MAVAZI NA SAFARI HII AMEFANYA NA KAMPUNI YA NEWYORK AND COMPANY KWA AJILI YA MAVAZI YA MAJIRA YA JOTO

P-SQUARE WAMEKUJA UPYA NA JIWE JIPYA HUMO NDANI AKIWA MTU MZIMA AWILO LONHOMBAAAA NI BONGE KIVHUPA KAITAZAME MWENYEWE

P-square wamerudi tena kwenye headlines za leo na ngoma yao mpya ya Afro-pop ndani yake ameshirikishwa mkongwe wa Muziki wa Congo Awilo Longomba. Nyimbo inaitwa “Enemy Solo”. 

Video imetengenezwa Vtek na kusimamiwa na Clarence Peters waNigeria, ndani yake kuna Team ya Awilo Longomba na Team ya P-square .

Kuicheki video hio bonyeza play hapa chini mtu wangu.

https://youtu.be/RJrPdBgirMY

Thursday, January 29, 2015

Sunday, August 31, 2014

JAMANI POUZI NYINGINE

Landboy beibe awafurahisha raia kwa pouzi Lake la kama anapuliza moto hahahahahahahahahah

Tuesday, August 12, 2014

UNAPOIANZA SAFARI YA MAFANIKIO MAMBO NI MENGI

Landboy beibe akiwa anazungumzia juu ya kuianza safari ya mafanikio akiwa na mahojiano na baadhi ya mashabiki wake jijini dar juzi mchana pande za ubungo shekilango.... kwa habari zaidi mfuaaaaaaaaaate katika akaunti zake kama www.facebook.com/landboyplatformz na www.instagram.com/bandboybeibe

Monday, August 11, 2014

UNAJUA NI KIPI BORA KUWANACHO MAISHANI?

Landboy akijaribu kzungumzia siri za mafanikio maishani pande za ofisi za tigo jijini dar maeneo ya shekilango.... hallooooooooooh

Sunday, August 10, 2014

Saturday, August 9, 2014